Life of a UNI hustler-PART 2
Me najua niko history,mfukoni mbao ATM mia,nashindwa kama nitaanza kulia,au nijikaze na kutulia,inabidi nimeholla cuzo alete bail,kama sivyo leo ntalala jail Tuko central na askari wa kanjo ananileta juu,najaribu kumtuliza namshow pesa zinacome,inabidi hiyo badge number yake ni cram,naweza hitaji incase justice will ever come,nikiwa karibu kuwekwa ndani,cuzo anawasili baada ya hapo ni burudani
No comments:
Post a Comment